Latest News


More

Posted by : Unknown on : Monday, August 15, 2011 0 comments
Unknown
Saved under : ,
MSIBA MKUBWA IDARA YA WALIPA KODI WAKUBWA - TRA

Bwana Erasmus Mtenga enzi za uhai wake


Kamishna wa Idara ya walipa kodi wakubwa (TRA) anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Ndugu Erasmus Mtenga (Assistant Manager - Audit) kilichotokea tarehe 12.08.2011 kwa ajali ya gari huko mjini Moshi

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya KCMC - Moshi na mazishi yanataraji kufanyika siku ya Jumanne tarehe 16.08.2011 huko Moshi

"BWANA AMETOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE"