Latest News


More

IBADA KATIKA USHARIKA WA K.K.K.T KIMARA

Posted by : Unknown on : Thursday, May 9, 2013 0 comments
Unknown
Jumapili ilifanyika ibada nzuri katika Usharika wa K.K.K.T Kimara.Ibada hiyo iliyohudhuriwa na waumini wengi wa kanisa hilo pamoja na mambo mengine ilikuwa pia na shukrwani mbalimbali toka kwa waumini wa kanisa hilo
 Pichani juu ni sehemu ya waumini wa kanisa hilo wakiwa ndani ya ibada hiyo
 Kutokana na idadi ya waumini kuwa wengi wengine walikaa sehemu maalum nje ya kanisa
Waumini wakifuatilia mahubiri katika ibada hiyo sehemu ya juu ya kanisa hilo

No comments:

Leave a Reply