Latest News


More

SIKUKUU YA KANTATHE DOMINO YAFANA DAR

Posted by : Unknown on : Monday, April 29, 2013 0 comments
Unknown
Jana ilikua ni sikukuu ya Kantate Domino (Mwimbieni Bwana wimbo mpya) katika makanisa ya K.K.K.T Katika ibada hizo nyimbo mbalimbali ziliimbwa na kwaya, na hata familia au marafiki.
 Pichani juu ni waimbaji toka Iringa wakiimba wimbo wa lugha ya Kibena
 Mwimbiaji anayechipukia Lazaro akiimba na marafiki zake kanishani hapo.Mwimbaji huyo anatarajia kurekodi nyimbo zake siku za karibuni
 Katika ibada hiyo pia Brigedia Mangole ambaye pia ni mzee wa kanisa hilo alitoa shukrani ya pekee kwa mambo mengi aliyomtendea.Pichani Mzee Mangole , familia na marafiki zake wakiwa mbele ya ibada tayari kutoa shukrani yao
 Kwaya kuu ya Usharika nayo ilipewa nafasi ya kuimba siku hiyo ya jana, hakika walikonga nyoyo za Washarika kwa uimbaji wao mzuri na nyimbo zenye mafunzo mema
 Pichani juu ni waimbaji wa kabila la Wachaga wa Machame wakiimba katika Usharika wa Mwenge


 Wapare nao walipata nafasi ya kumwimbia Mungu wimbo mpya

No comments:

Leave a Reply