Latest News


More

BARAKA MANGESHO ATIMIZA MWAKA MMOJA

Posted by : Unknown on : Saturday, September 28, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
 Jana ilikua ni siku ya furaha kwa familia ya Pius Mangesho wa Mwenge kwa mtoto wao Baraka kutimiza mwaka mmoja.Sherehe ya birthday ya mtoto wao ilifanyka nyumbani kwao Mwenge na kuhudhuriwa na ndugu na jamaa wa karibu pamoja na watoto mbalimbali wa jirani
 Pichani juu ni zawadi zilizoandaliwa kwa watoto waliohudhuria sherehe hiyo
 Keki maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya mtoto Baraka
 Bwana Mangesho na  mke wake wakiandaa keki kwa ajili ya mtoto wao Baraka
 Watoto mbalimbali waliohudhuria sherehe hiyo

 Mtoto Baraka akizima mshumaa


 Mtoto Baraka akijiandaa kukata keki maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake
 Mtoto Baraka akimlisha keki bibi yake
 Mtoto Baraka akimlizha keki baba yake mzazi Bwana Pius Mangesho
 Evelyn Kichila naye alipata nafasi ya kulishwa keki na Baraka
 Mtoto Baraka akimlisha keki mama yake mzazi
 Mtoto Baraka akimlisha keki binamu wa baba yake mama Yunis
 Watoto waliojumuika pamoja wakifurahi na mtoto baraka katikati,
 Bwana Mangesho na ke wake wakiwa na mtoto wao Baraka
 Ulifika walkati wa zawadi na hapa anaonekana Evelyn Kichila akimpa mtoto baraka zawadi yake
 Zawadi zinaendelea kumiminika

Shemeji yake Mangesho akiwa na mama Eunice  wakiwa na mtoto
Baraka.Hakika ilikua ni siku ya furaha kwa familia hii
Mtandao wa Tumaini Letu unamtakia kila la kheri na baraka tele Mtoto Baraka!!

No comments:

Leave a Reply