Latest News


More

TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI KUFANYIKA IRINGA JUMAPILI HII

Posted by : Unknown on : Friday, September 27, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :


 Jumapili hii kanisa la K.K.K.T litafanya tamasha kubwa la kwaya kuu huko mkoa wa Iringa
Tamasha hilo litahusisha kwaya zote kuu za Dayosisi ambazo ziko chini ya Kanisa la K.K.K.T
Pichani juu na chini ni wanakwaya wa kwaya ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakifanya mazoezi yao ya mwisho mwisho katika Usharika wa Mwenge jana jiioni

Pichani juu ni mmojawapo wa waalimu wa kwaya hiyo mwalimuInocent Senkondo akiongoza mazoezi ya kwaya yao hiyo
Kwaya hii inaongozwa na waalimu wafuatao
1.Mwalimu Ngwembele Theodory wa Usharika wa Msewe
2.Mwalimu Inocent Senkondo wa Usharika wa Mbagala na
3.Mwalimu Atuokoe Tweve wa Usharika wa Mwananyamala

No comments:

Leave a Reply