WAALIMU WA SHULE YA JUMAPILI WAPEWA ZAWADI USHARIKANI MWENGE
Katika ibada ya jumapili hii katika Usharika wa Mwenge (ambayo ilikua ni maalum kwa ajili ya watoto) waalimu wa shule ya jumapili walizawadiwa mbalimbali kwa kazi nzuri ya kuwalea watoto wa shule ya jumapili
Akiznungumza katika ibada hiyo katibu wa baraza la wazee la usharika huo mzee Kombe alisema waalimu hao wana kazi kubwa sana ya kuwalea watoto hao kiroho, hivyo ni jukumu letu kama kanisa kuwaombea na kuwapongeza kwa kazi kubwa na nzito wanayoifanya
Usharika wa Mwenge una jumla ya wanafunzi 150 ambao hutoa wastani wa shilingi 25,000 kwa kila jumapili
Waaalimu wanaowafundisha wanafunzi hao ni 7 tu
Waalimu hao walizawadiwa zawadi mbalimbali pamoja na barua ya shukrani
Mwalimu Mhoza akitoa neno la shukrani kwa niaba ya waalimu wenzake

No comments: