Latest News


More

WATOTO WABATIZWA USHARIKA WA K.K.K.T - MWENGE

Posted by : Unknown on : Monday, September 9, 2013 2 comments
Unknown
Saved under :



Familia mbili zilipata nafasi ya kubatiza watoto wao jumapili ya jana kwenye Usharika wa K.K.K.T - Mwenge.Katika ibada hiyo iliyoongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge Mchungaji Kaanasia Msangi akisaidiwa na mwinjilisti wa Usharika Mwinjilisti Mwigune na Parish Worker wa Usharika huo Suzan Mwimbi.Pichani juu Wazazi na wadhamini wa watoto waliobatizwa wakiwa madhabahuni kwenye ibada hiyo iliyofanyika katika ibada ya kwanza (asubuhi)


 Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge Mc.Kaanasia Msangi akiongoza ibada hiyo ya ubatizo

 Mchungaji Kaanasia akimbatiza mtoto wa Bwana Mushi.Aliyemshika mtoto ni mdhamini wa mtoto huyo na pembeni ni mdhamini pia wa mtoto huyo


 Bwana Mushi na mke wake wakipata baraka za mwisho na mtoto wao aliyebatizwa

2 comments: for WATOTO WABATIZWA USHARIKA WA K.K.K.T - MWENGE

  1. keep it up kaka...Grace Mushi

    ReplyDelete
  2. Tunajari dada, tunahitaji sana support na maombi yenu,
    Barikiwa!

    ReplyDelete