Usharika wa kanisa la K.K.K.T - Mwenge leo wamefanya ibada maalum ya kumuaga mwinjilisti Shayo ambaye alihamishiwa kwenye Usharika wa Mbagala
Mwinjilisti Shayo alitumika kwenye Usharika wa Mwenge takribani miaka mitatu mpaka mwaka huu alipohamishiwa kwenye Usharika wa Mwenge
Pichani juu Mwinjilisti Shayo akihubiri kwenye Ibada hiyo maalum ya kumwaga
Pichani chini ni baadhi ya wanakwaya ya kwaya Kuu Mbagala waliomsindikiza mwinjilisti wao wakiwa kwenye sare yao ya rangi ya njano na nyeusi
Ibada ya kumwaga ilifanyika kwenye ibada zote tatu katika Usharika huo
Washarika wakiwa kwenye ibada katika Usharika wa Mwenge
Wanakwaya wa kwaya kuu ya Usharika wa Mbagala wakiwa kwenye ibada
Wanakwaya wa kwaya ya Uinjilisti wakihudumu kwenye ibada hiyo
Mzee wa kanisa toka Usharika wa Mbagala ambaye alimsindikiza Mwinjilisti Shayo kwenye ibada hiyo, hapa alikua anatoa salam toka Usharika wa Mbagala
No comments: