Latest News


More

WAIMBAJI MBALIMBALI WASINDIKIZA TAMASHA LA UIMBAJI LA KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA

Posted by : Unknown on : Tuesday, October 15, 2013 0 comments
Unknown


Tamasha la uzinduzi wa Kwaya ya Uinjilisti ya Kijitonyama wa DVD yenye jina  NAMTANGAZA KRISTO lililofanyika siku ya jumapili lilisindikizwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili katika jiji la Dar es salaam
Juu ni waimbaji wa kwaya ya Vijana ya Usharika wa Kijitonyama wakiimba kwenye tamasha hilo
 Miriam Lukindo wa Mauki naye alikuwepo kwenye uzinduzi huo.Pichani juu Miriam akiimba kwenye steji


 Mwimbaji Upendo Nkone akiimba kwa hisia kwenye tamasha hilo
 Kwaya ya Kigogo Uinjilisti nao wakiimba kwenye tamasha hilo


Mwenyekiti wa kwaya ya Uinjilisti Emmanuel Shedo (Mc Foma Foma) akimkabidhi mgeni rasmi askofu msaidizi wa DMP mchingaji Fupe DVD yao ili aizindue rasmi .Katikati ni Mchungaji Kiongozi wa Usharika huo Mchungaji Kadiva
(Picha kwa hisani ya Gospel Kitaa)

No comments:

Leave a Reply