Latest News


More

Posted by : Unknown on : Tuesday, September 21, 2010 0 comments
Unknown


HUU NDIO UKWELI, UZURI NA UTAMU WA BIBLIA !!!!!!!!!!!
Q: Sura gani ya Biblia ambayo ni fupi kuliko zote?

A: Zaburi 117

Q: Sura gani ya Biblia ambayo ni ndefu kuliko zote?

A: Zaburi 119

Q: Sura gani iliyo katikati ya Biblia?

A: Zaburi 118
Ukweli: Kuna Sura 594 kabla ya Zaburi 118Ukweli: Kuna Sura 594 baada ya Zaburi 118Ukijumlisha Namba hizi unapata 1188.

Q: Mstari upi wa katikati ya Biblia?

A: Zaburi 118:8

Q: Je Mstari huu unaongelea chochote cha maana kuhusu mpango mzima wa Mungu kwa maisha yetu?

Mara nyingine mtu akisema angehitaji kujua Mpango kamili wa Mungu kuhusu maisha yake na wakati huo huo anataka kuwa Katikati ya mipango yake,Basi muweke mtu huyu kati ya maneno yake! (yaani usiongee kitu nje ya maneno yake)

Zaburi 118:8 "Ni bora kuamini katika BWANA kuliko kumwamini binadamu."Je kwa mpangilio huu haishangazi kwa jinsi ilivyotokea (au Mungu alikuwa katikati yake)?

UWE NA SIKU NJEMA!!

No comments:

Leave a Reply