Week end hii tulipata ugeni nyumbani kwetu.Wageni hawa ni marafiki wetu wa Kikorea ambao walikuja kupata chakula cha usiku nyumbani kwetu.Hawa Wakorea ni walimu wa kujitolea (volunteers) toka Korea
Wako hapa nchini kwa muda wa miezi mitatu.Pichani juu wakiwa nyumbani kwa mdau wa blog hii.Nyuma ni mimi na mke wangu Lilian.Mtoto aliyeshikwa ni binti wetu mpendwa EvelyneMtanisamehe majina ya hawa Wakorea ni magumu sana nisije nikayakosea bure
Picha zaidi zitafuata
Picha zaidi zitafuata
No comments: