Mchungaji Kaanasia Msangi jumapili iliyopita aliagwa rasmi toka kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mbezi juu aliokua anatumika kama mchungaji kiongozi wa Usharika huo.Kwa sasa hivi mchungaji Kaanasia Msangi anatumika kwenye usharika wa Mwenge kama mchungaji kiongozi
Kwaya ya akina mama wa Usharika wa Mbezi juu ikiimba kwenye ibada hiyo
Mchungaji Kaanasia akiwa na familia yake na baadhi ya wazee waliomsindikiza kwenye ibada hiyo
Mchungaji Kaanasia akifurahia jambo wakati wa utambulisho huo.Kushoto kwake ni mumewe Bwana Msangi na kulia ni mabinti zake
Washarika mbalimbali wakimpongeza mchungaji Kaanasia Msangi kwa utumishi wake kwenye Usharika wa Mbezi Juu
Familia ya mchungaji Kaanasia Msangi ikitambulishwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mbezi Juu
Mchungaji Kaanasia Msangi akiwa na mumewe Bwana Msangi
Mchungaji Kaanasia Msangi akiwa kwenye picha ya pamoja na familia yake.Kutoka kushoto Bwana Msangi, Mchungaji Kaanasia na mabinti zake watatu
Baadhi ya wazee wa kanisa toka Usharika wa Mwenge waliomsindikiza mchungaji wao.Kutoka kushoto Mzee Godlisten Lema (mtumishi), Mzee Uronu na Mzee mama Ngole
Picha ya pamoja ya familia ya mchungaji Kaanasioa na baadhi ya wazee wa Usharika wa Mbezi juu na Usharika wa Mwenge.Wa kwanza kulia (aliyevaa miwani)ni Mzee Kawa wa Usharika wa Mwenge
Picha ya pamoya (familia ya Mchungaji Kaanasia Msangi) na viongozi wa kanisa Usharika wa Mwenge.Kutoka kushoto mstari wa mbele Mzee Lema, Mzee Uronu, Mume wa Mchungaji Kaanasia bwana Msangi, Mchungaji Kaanasia, na mabinti zake .Nyuma aliyevaa kanzu ni mchungai kiongozi wa Usharika wa Mbezi juu.
Mzee Godlisten Lema (mtumishi) na mzee Uronu ambao walimsindikiza mchungaji wao
Katika ibada hiyo vikundi mbalimbali viliimba kama kwaya za usharika wa Mbezi juu na kwaya ya Vijana toka Usharika wa Mwenge waliomsindikiza mchungaji wao
No comments: