Familia ya Bwana harusi Bwana Rahin Ngovi wakiwa ukumbini siku hiyo.Wa kwanza kulia ni kaka wa bwana harusi bwana Riziki, akifuatiwa na baba mdogo bwana Hassan.Wa Pili kulia ni mama wa bwana harusi
Bwana harusi bwana Rahim akigonga cheers na baadhi ya wafanyakazi wenzake waliohudhuria hafla hiyo
Bwana Harusi Bwana Rahim akiwa na mke wake bi Sakina Mohamed siku hiyo ya sherehe yao
Lilian Kichila akiwa na mama yake wakiwa ukumbini siku hiyo ya sherehe
Maharusi wakichukua chakula
Baadhi ya wafanyakazi wenzake na bwana harusi bwana Rahim Ngovi
Bwana Rahim akipeana mkono na baba yake mdogo siku hiyo
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wake na bwana harusi bwana Rahim Ngovi
Wafanyakazi wenzake na bwana harusi wakitoa neno la nasaha kwa maharusi.Mbele anayeongea ni mwakilishi wao
Ndugu na marafikio wa bwana harusi wakiwapongeza maharusi.aliyeko mbele ni Lilian Kichila , akifuatiwa na Kichila , Peter Mkasimongwa na bwana Kitwana
Familia ya bwana harusi ndugu Rahim wakiwa kwenye picha ya pamoja na maharusi bwana na Bi Rahim Ngovi
Mwenyekiti wakamati na mke wake Lilian Kichila wakiwa kwenye sherehe hiyo
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ndugu Kichila akiwakaribisha wageni waliohudhuria sherehe hiyo
Maharusi wakiwa na ndugu na jamaa wa familia ya bwana harusi
Maharusi na wapambe wao wakifungua muziki
Maharusi wakiwa ufukweni walikoenda kupiga picha za kumbukumbu
Maharusi wakiwa wamesimama na wapambe wao wakati wakitamulishwa
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ndugu Kichila akiwapa mikono maharusi
Bwana harusi ndugu Rahim Ngovi akiwashukuru watu wakliohudhuria sherehe yao
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akiongoza wanakamati kwenda kutoa shukrani kwa wageni waalikwa
No comments: