Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

UTAJUAJE KARAMA YAKO YA ROHO MTAKATIFU?

Posted by : Unknown on : Friday, October 11, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Swali: "Ninawezaje kujua karama yangu ya Roho Mtakatifu?"
Jibu: Hakuna muujiza wa kiuganga ama jaribio sahihi ambalo laweza eleza kamili karama yetu ya Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu watupa vipawa vile apendavyo (1Wakorintho 12:7-11). Shida moja kwa Wakristo wote ni jaribio la kudumu katika sehemu yetu ya kipawa, ndio njia pekee tutaweza kumfanyia Mungu kazi katika sehemu zetu tunajihisi tumepewa kipawa. Mungu anatuita kwa unyenyekevu tumtumikie katika mambo yote. Atatuamini kwa kila kipawa au vipawa tunavyovihitaji kukamilisha jukumu ambalo ametuitia.

Kutambua sehemu zetu za kipawa twaweza kamilishwa katika njia mbali mbali. Vipawa vya Roho Mtakatifu hujaribi au hugundua, bali si kutegemewa kwa kila kitu, laweza kwa kweli kutusaidia kuelewa ni wapi sehemu zetu za kipawa. Thibitisho kutoka kwa wengine pia latupa mwangaza kuhusu vipawa vyetu vya Roho Mtakatifu. Watu wengine wanaotuona tukimtumikia Mungu, kila mara wanaweza kutambua kipawa cha Roho Mtakatifu ndani yetu  ambacho sisi wenyewe tunakipuuza au kukosa kukitambua. Maombi pia ni muhimu. Mtu mmoja ambaye anajua kamili vile tumepewa vipawa vya Roho Mtakatifu ni mtoaji wa vipawa mwenye-Roho Mtakatifu. Tunaweza kumuuliza Mungu atuonyeshe jinsi tumepewa kipawa kwa ajili ya utukufu wake.
Naam, Mungu anawaita wengine kuwa walimu na kuwapa kipawa cha ualimu. Mungu anawaita wengine kuwa watumishi na kuwapa kipawa cha kusaidia. Ingawa kujua kamili kipawa chetu cha Roho Mtakatifu haitupi ruhusa ya kutomfanyia Mungu kazi sehemu zilizo nje ya vipawa vyetu. Je! Ni muhimu kujua kipawa chako ambacho  Mungu amekupa? Naam. Je! ni makosa kuangazia kipawa sana kiwango tunakosa sehemu zingine tunaweza kumfanyia Mungu kazi? Naamu. Kama tumelazimishwa kumtumikia Mungu, atatupa vipawa vya Roho Mtakatifu tunavyovihitaji

No comments:

Leave a Reply