Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

Je wasomi wanaamini kuwa Yesu aliwahi kuwepo?

Posted by : Unknown on : Monday, August 19, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Je, Wasomi Wanaamini Kuwa Yesu Aliwahi Kuwapo?


Wasomi wana msingi imara wa kuamini kwamba Yesu aliwahi kuishi. Kuhusu marejeo ya Yesu na Wakristo wa mapema yaliyofanywa na wanahistoria wa karne ya kwanza na ya pili, kitabu Encyclopædia Britannica, Toleo la 2002, kinasema hivi: “Masimulizi hayo mbalimbali yanathibitisha kwamba zamani za kale hata wapinzani wa Ukristo hawakutilia shaka kwamba Yesu alikuwa mtu halisi. Jambo hilo lilibishaniwa kwa mara ya kwanza na bila sababu nzuri mwishoni mwa karne ya 18, katika karne ya 19, na mwanzoni mwa karne ya 20.”

Mwaka wa 2006, kitabu Jesus and Archaeology kilisema: “Hakuna msomi anayejulikana leo anayetilia shaka kwamba Myahudi aliyeitwa Yesu mwana wa Yosefu aliwahi kuishi; wengi sasa wanakubali wenyewe kwamba tunajua mambo mengi kuhusu matendo na mafundisho yake ya msingi.”

Biblia inamtaja Yesu kuwa mtu halisi. Inatoa majina ya mababu zake na watu wake wa ukoo wa karibu. (Mathayo 1:1; 13:55) Pia, inatoa majina ya watawala maarufu walioishi wakati wa Yesu. (Luka 3:1, 2) Mambo hayo yote yanawapa nafasi watafiti wachunguze usahihi wa masimulizi ya Biblia.



No comments:

Leave a Reply