NEWS ALERT;;WANAFUNZI WA LUTHERAN JUNIOR SEMINARY WAFANYA MAANDAMANO HADI KWA ASKOFU WA KKKT MOROGORO WAKIMTAKA KUMUONDOA NAFASI MKUU WA SHULE.
WANAFUNZI WA LUTHERAN JUNIOR SEMINARY WAMEFANYA MAANDAMANO MAKUBWA WIKI HII NIA NA MADHUMUNI NI KUTAKA KUFIKA KWA ASKOFU WA KKKT MOROGORO WAKIMTAKA KUMUONDOA NAFASI MKUU WA SHULE HIYO
Pichani juu na chini ni Sehemu ya wanafunzi wakiwa na bango lenye moja ya ujumbe wakati katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) asubuhi ya leo.
habari zaidi endelea kutembelea hapa tutaleta kwa kina zaidi
Picha kwa Hisani ya mdau Juma mtanda
No comments: