Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

KWA NINI MUNGU ANARUHUSU MAOVU KUWAPATA HATA WATU WASIO WAOVU?

Posted by : Unknown on : Tuesday, September 24, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
 
Swali: "Ni kwa nini Mungu anayaruhusu maovu kuwapata watu wazuri?"
Jibu: Hili ni mojawapo la maswali magumu katika uchanganusi wa bibilia. Mungu ni wa milele, hana mwisho, anajua kila kitu, ako kila mahali na ako na nguvu kuliko mtu yeyote au kitu chochote. Ni kwa nini wanadamu (hawaishi milele, hawajui mambo yote, hawako kila mahali, hawana nguvu zote) wanatarajia kuelewa njia za Mungu? Kitabu cha Ayubu kinashugulikia hali hii. Mungu alimuruhusu shetani kufanya chochote alichokitaka kwa Ayubu lakini si kumuua. Je Ayubu alifanya nini? “Tazama, ataniua; sina tumaini; Ila hata hivyo nitaithibitisha njia yangu mbele yake” (Ayubu 13:15). “Akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.” (Ayubu 1:21). Ayubu hakuelewa ni kwa nini Mungu alimuruhusu shetani afanye aliyoyafanya, lakini alijua Mungu ni mwema na kwa hivyo aliendelea kumtumainia. Hatimaye hiyo yatupasa tuwe na msimamo kama huo.

Ni kwa nini maovu yanawapata watu wema? Jibu la kibibilia ni, hakuna watu “wema”. Bibilia inaifanya kuwa wasi kabisa kwamba, wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu (Mhubiri 7:20; Warumi 6:23; 1Yohana 1:8). Warumi 3:8-18 haiweki vizuri kama hakutakuwa na watu wenye “haki” “kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja. Koo lao ni kaburi wazi, Kwa ndimi zao wametumia hila. Simu ya fira i chini ya midomo yao. Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu. Miguu yao ina mbio kumwaga damu. Uharibifu na mashaka yamo njiani mwao. Wala njia ya amani hawakuijua. Kumcha Mungu hakupo machoni pao.” Kila mwanadamu chini ya nyota hii anastahili kutubwa jehanamu kwa wakati huu. Kila nukta ya dakika tunapokuwa na uai ni kwa neema na rehema za Mungu. Hata tunapo pitia machungu katika nyota hii, Mungu ni wa huruma tukilinganisha na tunayostahili ambayo ni jehanamu ya milele, ziwa la moto.
Swali nzuri laweza kuwa “Ni kwa nini Mungu anayaruhusu mazuri kuwatokea waovu?” Warumi 5:8 yasema, “Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.” Mbali na uovu, unyonge, na hali ya dhambi ya watu wa ulimwengu huu, Mungu bado atupenda. Anatupenda ya kutosha hadi kufa ili achukue hukumu ya dhambi zetu (Warumi 6:23). Tukimpokea Yesu kama Mwokozi wa maisha yetu (Yohana 3:16; Warumi 10:9), tutasemehewa na tuaidiwe mji wa milele mbinguni (Warumi 8:1). Tunachostahili ni jehanamu. Na chenye tumepewa ni uzima wa milele kama tutakuja kwa Yesu kwa imani.
Naamu, wakati mwingine mambo maovu huwapata watu wanaoneka hawastahili kuyapata. Lakini Mungu huyaruhusu hayo kutokea kwa kusudio lake, haijalishi kama tunayaelewa. Fauka (zaidi) ya hayo, kwa hivyo lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mwema, mwenye haki, na ni wa huruma. Kila mara mambo hutupata yenye hatuwezi kuelewa sababu. Ingawa badala ya kuushuku wema wa Mungu, jukumu letu liwe kumtumainia Mungu. “Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako” (Mithali 3:5-6).

No comments:

Leave a Reply