Latest News


More

DAWA ZA KULEVYA ZINAZOTESA WATU AFRIKA KUSINI

Posted by : Unknown on : Tuesday, September 24, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Dawa mpya ya Kulevya inaitengesha jamii nchini humo.


Nyaope ni dawa ya kulevya yenye mchanganyiko wa vitu vingi, na bei yake haifikii hata Dola Mbili na Nusu, lakini inaathiri maisha ya vijana wengi.

Uhalifu unaohusihwa na dawa za Kulevya unaongezeka Afrika Kuisni. Watu wameitaka serikali kushughulikia vyema suala hili, kwani zitzipeleka nchi hii mahali pabaya kwa kasi inavyoongezeka siku hata siku

No comments:

Leave a Reply