Latest News


More

ENENDA UKAIFANYE KAZI YA BWANA

Posted by : Unknown on : Sunday, November 24, 2013 0 comments
Unknown
ENENDA UKAIFANYE KAZI YA BWANA
Mungu Anaagiza kwa kushauri na si kwa kushurutisha

Mungu hutoa uhuru wa kukubali au kukataa pale anapotaka kuwatumia watu wake.Akifundisha katika semina ya neno la Mungu iliyoanza leo kwenye Usharika wa K.K.K.T Mwenge mwinjilisti Nicodemus Shabuka (junior) wa Usharika wa Makuburi  alisema tofauti na shetani ambaye yeye hua anashurutisha na si kwa unyenyekevu kama afanyavyo Mungu wetu
Ibrahim alipoiwa na Mungu alikua na miska 75 na hakua na motto

Mungu alimwamuru atoke katika nchi yake na kwenda pale Mungu alipotaka aende

Ili Mungu afanye jambo jipya kwako ni lazima kwanza aliharibu lile la zamani kwanza

Mwanadamu ana tabia ya kujiambatanisha na mfumo/tabia aliyoizoea

No comments:

Leave a Reply