MSIACHE KUMTOLEA MUNGU SHUKURANI
Mkristo wakati wowote unatakiwa uwe mtu wa shukrani kwa Mungu
Akipokea shukrani kwa bi Neema Mongi mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi alisema kila mara tuwe ni watu wa kumshukuru Mungu kwani Mungu anawapenda wale wanaomtolea shukrwani
No comments: