Jana usiku ilikua usiku wa Suzan Mandota pale ambapo familia yake ilimwaga rasmi tayari kuingia kwenye ndoa takatifu
Sherehe hiyo iliyofana sana ilifanyika katika ukumbi wa Kuala Lumpar Sinza na kuhudhuriwa na mamia ya ndugu , jamaa na marafiki
Pichani Juu Suzan akiwa na mpambe wake tayari kulishana keki
Suzan na mpambe wake wakilishana keki
Suzan akiwapa keki wazazi wake kama alama ya shukrwani kwa kumlea hata akaweza kupata mchumba na sasa anaolewa
Suzan akipeleka keki kwa wakwe zake
Suzan akimkabidhi mama mkwe keki
Suzan akimpa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi keki kama alama ya shukrwani kwa kufanikisha sherehe yake
Wazazi wa Suzan wakifurahia jambo ukumbini.Wa pili kutoka kulia ni mama Mandota (mama Suzan) akifuatiwa na baba yake Suzan Askofu Westen Mandota
Watu wakicheza muziki kwenye sherehe hiyo
Suzan akimtambua mume wake mtarajiwa ukumbini
Suzan na mme wake mtarajiwa wakielekea mbele kumtambulisha rasmi kwa wageni waliohudhuria sherehe yake
Suzan na Mme wake mtarajiwa wakiwa mbele ya ukumbi
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: