Latest News


More

BWANA ANAKUJA KATIKA UFALM E WAKE

Posted by : Unknown on : Sunday, December 8, 2013 0 comments
Unknown



BWANA ANAKUJA KATIKA UFALM E WAKE

Akihubiri katika ibada ya ju  ni upendeleo maalum, kwani so wote wanaopata neema kama hii
mapili ya leo katika Kanisa la K.K.K.T Usharika wa Kijitonyama mchungaji Prosper amesema mkristo anapokua nyumbani mwa bwana


Unapokua ibadani jua kwamba uko na Mungu pamoja alisema mchungaji Prosper
Maisha ya toba ni muhimi kwa mkristo ili kuifikilia taji ya uzima
Ibada hiyo ya jumapili ya leo iliongozwa na mchungaji Mitili wa Usharika wa Msasani .Kwaya mbalimbali zilihudumu katika ibada hiyo kama vile kwaya ya Uinjilisti ya Kijitonyama (ambayo ilikua inaadhimisha jubilee ya miaka 25), kwaya ya Uamsho ya Usharika huo, kwaya ya Vijana ya usharika wa Kijitonyama na kwaya ya Tumaini toka Arusha ambayo ilialikwa kwenye jubilee hiyo


Pia katika ibada hiyo alikuwepo mchungaji kiongozi wa Usharika wa Kijitonyama mchungaji Kadiva
Mchungaji Gabriel ni mara yake ya kwanza kuhudumu katika mimbara baada ya kusimikwa rasmi jana kuwa mchungaji 



No comments:

Leave a Reply