Latest News


More

WANAFUNZI WA USHARIKA WA MWENGE WAPATA KIPAIMARA

Posted by : Unknown on : Sunday, December 8, 2013 0 comments
Unknown
WANAFUNZI WA  USHARIKA WA MWENGE WAPATA KIPAIMARA LEO

Waanafunzi wa kipaimara katika usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T jana jumamosi walipata kipaimara ikiwa ni ishara ya kumaliza masomo yao ya dini waliosoma kwa kipindi cha miaka miwili.
Katika ibada hiyo iliyoongozwa na mchungaji  kiongozi wa Usharika huo akisaidiana na mchungaji wa kanisa la Moravian  -Mwenge
 





No comments:

Leave a Reply