Latest News


More

EVELYN APONGEZWA NA WAZAZI WAKE BAADA YA KUHITIMU SHULE YA AWALI

Posted by : Unknown on : Sunday, December 8, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :


EVELYN KICHILA APONGEZWA NA WAZAZI WAKE BAADA YA KUHITIMU SHULE YA AWALI

Evelyn Kichila alipongezwa na wazazi wake mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumaliza masomo ya awali katika shule ya St.Don Bosco jijini Dar es salaam

Baada ya mahafali yaliyofanyika katika viwanja vya shule hiyo wazazi wake walimwandalia tafrija ndogo ambayo iliambatana na keki ya pongezi

Evelyn akiongoza nyimbo katika mahafali hayo

Evelyn akionyesha ufundi wa kucheza nyimbo mbalimbali na wanafunzi wenzake
Pichani juu Evelyn akiwa na rafiki yake Digna mara baada ya kutunukiwa vyeti vyao siku ya jumamosi
Pichani Evelyn akiwa na mama yake Lilian Kichila kulia na mama yake mdogo Angela kushoto mara baada ya kutunukiwa cheti chake jana
Baadaye aliandaliwa tafrija ndogo nyumbani kwa wazazi wake maeneo ya Mwenge

No comments:

Leave a Reply