Latest News


More

WAFANYAKAZI WA TRA IDARA YA WALIPA KODI WAKUBWA WAWAPONGEZA WENZAO WALIOMALIZA CHUO

Posted by : Unknown on : Tuesday, December 24, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :




Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Idara ya walipa kodi wakubwa kitengo cha Return and
Data Processing na kitengo cha Madeni kimewapongeza wafanyakazi wenzao ambao wamehitimu kozi mbalimbali kwa mwaka huu
Pongezi hizo zimefanyika leo wakati wa lunch ambao waliandaa vitafunwa pamoja na vinywaji kwa ajili ya kuwapongeza wafanyakazi wenzao hao

Wafanyakazi waliopongezwa ni ;
1.Joyce Ndyetabula aliyehitimu MBA - Mzumbe
2.Rosemary Mworia - aliyehitimu MBA - Mzumbe
3.Mbokigwe Mwakifulefule - aliyehitimu - MBA
4.Erick Mabula - aliyehitimu - CPA
5.Pamella Ngonyani - aliyehitimu Postgraduate Diploma in Taxation
6.Faraja Stephano - aliyehitimu Postgraduate Diploma in Taxation na
7.Ramadhani Idd - aliyehitimu Postgraduate Diploma in Taxation

Mtandao wa tumainiletu unawatakia kila la kheri na waendelee mbele zaidi katika masomo

No comments:

Leave a Reply