Katika kipindi hiki cha sikukuu ni vyema watu wakatulia nyumbani na familia zao , wakila na kufurahi pamoja kuliko wazazi kuwaacha watoto kwenda maeneo ya ufukweni kama beach na wao kwenda maeneo mengine ya starehe
Historia inaonyesha kua kunakua na vitendo vingi sana vinavyofanyika viovu hususan kwenye kipindi cha sikukuu kama hiki
Hivyo basi familia ikae pamoja na kusherehekea pamoja
WE WISH U A MERRY CHRISTMAS AND A PROSPEROUS NEW YEAR 2014
No comments: