Kaimu Kamishna Mkuu Rished Bade akimkaribisha Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum wakati waziri alipowasili TRA makao makuu.
Kaimu Kamishna Mkuu Rished Bade akimkaribisha Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Adam K. Malima
Waziri wa Fedha akisalimiana na Kamishna wa Kodi za Ndani, Patrick Kassera mara baada ya kuwasili wakati akitambulishwa kwa uongozi wa TRA
No comments: