Latest News


More

MAHAFALI YA UKWATA YAFANYIKA LEO KATIKA SEKONDARI YA ALPHA JIJINI DAR

Posted by : Unknown on : Sunday, October 20, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :



Leo siku ya jumapili yamefanyika  mahafali ya Ukwata katika shule ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar iliyoko maeneo ya Mikocheni
Mahafali hayo yametanguliwa na na ibada ambayo imeongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T ambao ndio walezi wa shule hiyo kiroho mchungaji Kaanasia Msangi na mahubiri yametolewa na mwinjilisti wa kujitegemea Godilizen Mushi na baadaye tafrija iliyofanyika  shuleni hapo mchana wa leo

Ibada hiyo ilianza asubuhi  saa 4.00 kamili  ilihudumiwa na kwaya ya vijana wa Ukwata wa Alpha na kwaya  kwaya ya Vijana ya Usharika wa Mwenge

Pichani juu kutoka kushoto ni mwalimu mlezi wa Ukwata wa shule ya Sekondari ya Alpha , katikati ni mchungaji Kaanasia msangi na kulia kwake ni mwenyekiti wa Ukwata wa Alpha

Saved under :

No comments:

Leave a Reply