Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu tarehe 13/04/2014.
Uzinduzi huo unatarajia kufanyika katika kanisa lao la TAG Hamugembe Bukoba Mjini
Akizungumza na mtandao huu wa Tumaini letu mratibu wa kikundi hiki
bwana Mmasi amesema hakutakua na kiingilio katika uzinduzi huo ila kila
mmoja afike na Tsh 10,000/- tu kwa ajili ya kujipatia nakala yake ya DVD
yenye jina "Wewe ndiwe Mungu:
Kazi ni nzuri sana na imefanywa na producer mkongwe Ibrahimu Mshana toka DSM.
HAKUNA KINGILIO FIKA TU NA SH. 10,000/= kwa ajili ya kupata nakala yako ya DVD anasema bwana Mmassi
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: