Neno la leo ni : Zaburi 71:1-5
Nimekukimbilia Wewe, Bwana
Nisiaibike milele.
Kwa haki yako uniponye, Uniopoe, Unitegee sikio lako, uniokoe
Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, Nitakakokwenda sikuziote
Umeamuru niokolewe, Ndiwe genge langu na ngome yangu
Eee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi, katika mkono wake mwovu mdhalimu
Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana Mungu,
Tumaini langu tokea ujana wangu..
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: