Latest News


More

IGIZO LA WANAFUNZI WA KOZI YA LIFE TRANSFORMING KATIKA KANISA LA LWC MAKUTI KAWE LEO

Posted by : Unknown on : Sunday, April 13, 2014 0 comments
Unknown
Wanafunzi waliohitimu kozi ya Life Transforming wakiigiza katika ibada ya jumapili ya leo katika kanisa la Living Water Center Makuti Kawe
Ibada hiyo pamoja na mambio mengine ilikua maaluma kwa ajili ya kuwatunukia vyeti wahitimu wa kozi hiyo
Kozi hi inaendeshwa kila mwaka katika kanisa la LWC kwa wakristo wowote walio tayari kujifunza neno la Mungu bila kujali itikadi zao wala dhehebu wanalotoka

No comments:

Leave a Reply