Latest News


More

WANAFUNZI WA KOZI YA LIFE TRANSFORMING WAHITIMU LEO KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE

Posted by : Unknown on : Sunday, April 13, 2014 0 comments
Unknown


 
 
Jumapili ya leo katika kanisa la Living Water Center Makuti Kawe wamehitimu wanafunzio wa kozi ya Life Transforming na kutunukiwa vyeti katika ibada hiyo.
 
Pichani juu ni waalimu wa kozi hiyo wakiwa na Director wa kozi hiyo mwalimu Lilian Ndegi (kulia) ambaye ndiye aliyekua mgeni rasmi akizungumza kabla ya kuanza kukabidhi vyeti kwa wahitimu
Kozi hiyo inatolewa kwa mkristo yoyote bila kujali anatoka kwenye dhehebu gani.Ni kozi ambayo inaendeshwa kila mwaka kwa takriban siku 45 hivi
Aliyeshika bahasha kabla ya mwalimu Lilian Ndegi ni katibu wa kanisa la LWC
 
Pichani juu Charles Gumbo akisoma risala kwa mgeni rasmi kabla ya kuanza kutunukiwa vyeti vyae leo katika kanisa la LWC


Mmojawapo wa wahitimu wa kozi ya Life Transforming akipokea cheti chake kwa mgeni rasmi mwalimu Lilian Ndegi

No comments:

Leave a Reply