Latest News


More

MSICHANA APONZWA NA SIMU NA KUTUMBUKIA KWENYE SHIMO

Posted by : Unknown on : Thursday, April 3, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :

 Msichana mmoja ameokolewa baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji machafu pembeni ya barabara
Msichana huyo ameokolewa baada ya simu yake kutumbukia kwenye shimo hilo na akiwa katika harakati za kuiopoa simu yake mara ghafla naye akatumbukia kwenye shimo hilo

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 16 anaitwa Ella Birchenough, alitumbukia kwenye shimo hilo huko  Eaves Road, Dover, Kent.
Ella Birchenough being rescued by firefighters after getting stuck in a drain. Image: Tim Richards, PA WireBaada ya kutumbukia alijaribu kujiokoa bila ya msaada .Mpitaji wa njia Tim Richards,alimwona wakati akitumbukia na akataarifu waokoaji wa kikosi cha moto  na kuja kumuokoa
 witnessed the incident.

Ella Birchenough hatimaye alikokolewa na watu wa zimamoto


"Ni kitu ambacho huwezi amini kutokea mara kwa mara lakini ndivyo ilivyotokea; alisema msemaji wa kikosi hicho cha zimamoto


Alikua anafikiria zaidi kuiokoa simu yake badala ya kujiokoa yeye baada ya kutumbukia kwenye shimo, alisema msemaji huyo










Bwana Richards  alisema  alianza kwa kuingiza mguu mmoja lakini akateleza na kutumbukia mguu mwingine, alisema

Zimamoto waliitwa na kwa ujuzi wao waliweza kumwokoa msichana huyo  Ella kutoka kwenye shimo hilo

Pamoja na juhudi zako zote hizo za kuokoa simu yake , simu hiyo ilivunjika.

Ella aliiambia mtandao wa  Kent: "Nilikua naongea na mtu na nilipojaribu kuweka simu yangu kwenye mfuko ikaanguka na kutumbukia kwenye shimo

No comments:

Leave a Reply