Latest News


More

NI NENO JEMA KUMSHUKURU BWANA

Posted by : Unknown on : Thursday, April 3, 2014 0 comments
Unknown
Ni neno jema kumshukuru Bwana, na kuliimbia jina lako, Eee Uliye juu

Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku

Kwa chombo chenye nyuzi kuni, Na kwa kinanda, Na kwa mlio wa kinubi

Kwa kuwa umenifurahisha, Bwana.Kwa kazi yako; nitashangilia
Kwa ajili ya matendo ya mikono yako.

No comments:

Leave a Reply