Pichani juu na chini ni waimbaji wa kwaya ya wanaume ya Usharika wa Mwenge ikiimba ibadani jumapili ya leo.
Anayeongoza ni mwalimu wa kwaya wa Usharika wa Mwenge mwalimu Kahesi
Picha ya pamoja ya wanaume wa Usharika wa Mwenge walioabudu kwenye ibada ya kwanza inayoanza saa 12.00 asubuhi
Waliovaa majoho wawili katikati nni viongozi walioongoza ibada hiyo.Waliovaa majoho mafupi ni waliohudumu kama wazee wa ibada.Aliyevaa suti nyekundu mbele ni mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi
Hakika Mungu naaudumishe umoja huu uwe ni wa mfano wa kuigwa kwa makanisa yote Tanzania.
ReplyDeleteMUNGU ibariki Tanzania ,Mungu libariki kanisa Lako Mungu Tubariki wanamwenge Amien.
Amen mtu wa Mungu, na tuendelee kuuombea umoja huu.Barikiwa
ReplyDelete