Leo katika Usharika wa Mwenge wa kanisa ala K.K.K.T Imefanyika ibada ya jumapili ambayo ni ibada ya kukumbuka kufufuka kwa bwana Yesu Kristo
Ibada hiyo imeongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi na neno limehubiriwa na mchungaji Fue (pichani juu)
Baadhi ya waumini waliohudhuria ibada hiyo ya siku ya kukumbuka kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: