WANAUKWATA WA MKOA WA DAR ES SALAAM WASHIRIKI IBADA USHARIKA WA MWENGE LEO
Posted by :
Unknown
on :
Sunday, June 8, 2014
0 comments
Vijana wa Ukwata wa Mkoa wa Dar es salaam jumapili ya leo wameshiriki ibada katika Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T.Pichani juu na chini wanakwaya hao wa Ukwata wakiimba kwenye ibada hiyo
Pamoja na kwaya ya Ukwata pia ilikuwepo kwaya ya Umoja ya Usharika wa Mwenge, na kwaya ya wanaume .Pichani juu wanakwaya wa kwaya ya Umoja wakihudumu kanisani hapo jumapili hii
Saved under :
Habari za Kidini,
Kutoka Madhabahuni
No comments: