Latest News


More

KAMATA PINDO LA YESU KUZINDULIWA MWEZI AUGUST DIAMOND JUBILEE

Posted by : Unknown on : Tuesday, July 8, 2014 0 comments
Unknown
 Mwimbaji gwiji na malkia wa nyimbo za injili Tanzania Rose Muhando anatarajia kuzindua album yake mpya ya nyimbo za injili yenye jina "Kamata Pindo la Yesu" jumapili ya tarehe 3 mwezi August jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee
 Akizungumza jijini Dar es salaam mwandaaji wa tamasha hilo ndugu Msama ambaye pia ni  mkurugenzi mtendaji wa Msama Promotion ambao ni magwiji wa kuandaa matamasha ya nyimbo za injili alisema maandalizi yanaendelea vyema na wanatarajia kuwepo kwa waimbaji magwiji wa nyimbo za injili wa ndani na nje ya nchi kama vile John Lisu pichani chini na Upendo Nkone



No comments:

Leave a Reply