Latest News


More

VIJANA MWENGE NDIO WASHINDI WA UIMBAJI KANDA YA KASKAZINI - K.K.K.T

Posted by : Unknown on : Saturday, August 2, 2014 0 comments
Unknown
 Kwaya ya vijana ya Usharika wa Mwenge ndio mabingwa wa uimbaji kwa kanda ya kaskazini.Tamasha hilo la uibaji ambalo limefanyika leo na kushirikisha kwaya za vijana 7 toka sharika na mitaa mbalimbali ya kanda hiyo
Uimbaji huo umefanyika leo katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Wazo Hill
Pichani juu washindi wa kwanza wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uimbaji huo leo

 Washindi wa pili kwaya ya Vijana ya Usharika wa Kijitonyama wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uimbaji
Mshindi wa kwanza kwaya ya Vijana ya Usharika wa Mwenge wakiwa jukwaani wakiimba
 Washindi wa tatu kwaya ya Vijana ya Usharika wa Ubungo wakiimba jukwaani


No comments:

Leave a Reply