- Rais wa Cameroon Paul Biya na mkewe Chantal walikuwa miongoni mwa wageni waalikwa
- Rais wa Gambia Yahya A.J.J Jammeh, pia aliwaamkua wandishi wa habari waliofika alipowasili katika White House na mkewe Zineb Jammeh
- Mkewe Rais Obama , Michelle Obama alimsaidia mumewe kuwaandalia wageni. Hapa anawachangamkia wageni wake akiwemo mwenyekiti wa tume ya Afrika Nkosazana Dlamini Zuma.
No comments: