Binti Mfalme wa Hispania Bi Cristina amefika mahakamani ili
kuhojiwa kuhusiana na kashfa ya ufisadi ikimhusisha na biashara za mume
wake.
Mume wake Inaki Urdangarin anatuhumiwa kuiba mamilioni ya fedha za umma kutoka serikali za mikoa.
Binti Mfalme na mumewe wamekana kuhusika na makosa hayo na hawajafunguliwa mashitaka.
No comments: