Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

Nambari 666 Inamaanisha Nini?

Posted by : Unknown on : Tuesday, January 6, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :




Jibu la Biblia

Kulingana na kitabu cha mwisho cha Biblia, 666 ndiyo nambari, au jina, la yule mnyama-mwitu aliye na vichwa saba na pembe kumi anayepanda kutoka katika bahari. (Ufunuo 13:1, 17, 18) Mnyama-mwitu huyo anawakilisha mfumo wa kisiasa wa ulimwenguni pote, ambao unatawala juu ya “kila kabila na watu na lugha na taifa.” (Ufunuo 13:7) Jina 666 linaonyesha kwamba kwa maoni ya Mungu mfumo wa kisiasa umeshindwa kabisa. Linaonyeshaje hivyo?
Si kibandiko tu. Kwa kawaida Mungu anapompa mtu au kitu jina, linakuwa na maana fulani. Kwa mfano, jina Abramu linamaanisha “Baba Ametukuzwa (Amekwezwa).” Mungu alimpa mwanamume huyo jina Abrahamu linalomaanisha “Baba ya Umati (Halaiki),” wakati ambapo Mungu aliahidi kumfanya Abrahamu “kuwa baba ya umati wa mataifa.” (Mwanzo 17:5) Vivyo hivyo, Mungu alimpa huyo mnyama-mwitu jina 666 kuwa ishara ya sifa zinazomtambulisha.
Nambari sita inaashiria kutokamilika. Mara nyingi, namba hutumiwa kama ishara katika Biblia. Nambari saba huwakilisha ukamili au ukamilifu. Kwa kuwa nambari sita imepungua kwa nambari moja kutoka saba, inaweza kumaanisha kitu ambacho si kamili au kilicho na kasoro machoni pa Mungu, na inaweza kuhusianishwa na maadui wa Mungu.—1 Mambo ya Nyakati 20:6; Danieli 3:1.
Mara tatu ili kutia mkazo. Nyakati nyingine Biblia hukazia jambo kwa kulitaja mara tatu. (Ufunuo 4:8; 8:13) Kwa hiyo jina 666 linakazia kwa msisitizo kwamba Mungu huiona mifumo ya kisiasa inayoongozwa na wanadamu kuwa imeshindwa kabisa. Wanadamu wameshindwa kuleta amani na usalama wa kudumu—mambo ambayo yanaweza kuletwa tu na Ufalme wa Mungu.
Alama ya yule mnyama-mwitu

Biblia inasema kwamba watu hupata ile “alama ya yule mnyama-mwitu” kwa sababu wanamfuata “kwa mshangao,” kufikia hatua ya kumwabudu. (Ufunuo 13:3, 4; 16:2) Wanafanya hivyo kwa kutukuza nchi yao kutia ndani nembo zake na uwezo wa kijeshi, kufikia hatua ya kuabudu mambo hayo. Kitabu The Encyclopedia of Religion kinasema hivi: “Utaifa umekuwa dini kuu katika ulimwengu wa leo.”
Mtu anapewaje alama hiyo ya mnyama-mwitu juu ya mkono na paji la uso wake? (Ufunuo 13:16) Mungu alipolipatia taifa la Israeli amri, alisema hivi: ‘Myafunge kama ishara juu ya mkono wenu, nayo yatakuwa kama utepe wa kipaji katikati ya macho yenu.’ (Kumbukumbu la Torati 11:18) Hilo halikumaanisha kwamba Waisraeli walipaswa kutia alama juu ya mikono na vipaji vyao kihalisi, bali kwamba maneno ya Mungu yangeongoza matendo na mawazo yao. Vivyo hivyo, ingawa kihalisi nambari 666 haipaswi kuonwa kuwa kama chanjo au chale ambayo mtu amechorwa, kwa njia ya mfano wale ambao huruhusu mifumo ya kisiasa itawale maisha yao wanatambulishwa kwa alama hiyo ya huyo mnyama-mwitu. Wale walio na alama ya mnyama-mwitu wanampinga Mungu.—Ufunuo 14:9, 10; 19:19-21. (Source: Jehovah Witness website)

No comments:

Leave a Reply