Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

UNAWEZAJE KUIELEWA BIBLIA?

Posted by : Unknown on : Thursday, April 23, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :


Biblia yenyewe inaonyesha njia nyingi za kuielewa. Bila kujali malezi yako, ujumbe wa Mungu ulio katika Biblia ‘si ngumu mno kwako, wala hauko mbali.’—Kumbukumbu la Torati 30:11.

Njia za kuielewa Biblia

  1. Uwe na mtazamo unaofaa. Kubali kwamba Biblia ni Neno la Mungu. Uwe mnyenyekevu, kwa kuwa Mungu anawapinga wenye kiburi. (1 Wathesalonike 2:13; Yakobo 4:6) Hata hivyo, usiamini tu bila kufikiri, Mungu anataka utumie ‘nguvu zako za kufikiri.’—Waroma 12:1, 2.
  2. Sali ili upate hekima. Biblia inasema hivi katika Methali 3:5: “Usitegemee uelewaji wako mwenyewe.” Badala yake, ‘endelea kumwomba Mungu’ ili akupe hekima ya kuielewa Biblia.—Yakobo 1:5.
  3. Jifunze kwa ukawaida. Utafaidika hata zaidi ukiendelea kujifunza Biblia kwa ukawaida badala ya kuisoma mara kwa mara tu.—Yoshua 1:8.
  4. Jifunze kwa kuchagua wazo. Funzo linalotegemea vichwa mbalimbali, yaani, kujifunza habari fulani hususa, ni njia nzuri sana ya kujifunza mafundisho ya Maandiko. Anza na “masomo ya msingi,” na kisha “endelea na mafundisho makomavu zaidi (mazito zaidi).’ (Waebrania 6:1, 2, Easy-to-Read Version) Utaona kwamba unaweza kulinganisha andiko moja na andiko lingine na kugundua kwamba sehemu mbalimbali za Biblia zinafafanua sehemu nyingine, hata zile zilizo ‘ngumu kueleweka.’—2 Petro 3:16.
  5. Waombe wengine msaada. Biblia inatutia moyo tukubali msaada kutoka kwa wengine wanaoielewa Biblia. (Matendo 8:30, 31) Mashahidi wa Yehova huandaa programu ya kujifunza Biblia bila malipo kwa kutumia njia iliyotumiwa na Wakristo wa mapema. Wanatumia marejeo ya Kimaandiko kuwasaidia wengine kujua yale ambayo Biblia inafundisha hasa.—Matendo 17:2, 3.

Ili kuijua Biblia huhitaji kuwa na mambo yafuatayo

  1. Akili au elimu ya juu. Kwa mfano, mitume 12 wa Yesu walielewa Maandiko na kuwafundisha wengine, hata ingawa mitume walionwa na wengine kuwa “wasio na elimu na wa kawaida tu.”—Matendo 4:13.
  2. Pesa. Unaweza kujifunza Biblia bila malipo. Yesu aliwaambia wanafunzi wake hivi: “Mlipokea bure, toeni bure.”—Mathayo 10:8.



No comments:

Leave a Reply