"KUTOKA KWENYE VIFUNGO"........ISATA 42:22
Mtumishi wa Mungu Seth Oscar anaendesha mkutano wa injili katika kanisa la EAGT Mbezi Makabe
Mkutano huo umeanza jumatatu wiki hii na unaenda kuhitimishwa jumapili hii
Pichani juu mtumishi huyo akihubiri katika mkutano huo wa injili
Pichani juu mtumishi wa Mungu akifungua watu kutoka kwenye vifungo mbalimbali vya ibilisi
Uponyaji ukiendelea kwenye mkutano huo
No comments: