Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi (pichani juu) aliongoza na kuhubiri
Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa mke wake Lilian Ndegi ambapo pamoja na mambo mengine kulikua na uzinduzi wa Vitabu vya mwalimu Lilian Ndegi (ambaye ni mke wa Mtume ndegi)
Waumini wakifuatilia ibada hiyo jumapili katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe
No comments: