Latest News


More

BUS LATEKETEA KWA MOTO BARABARA YA DAR CHALINZE

Posted by : Unknown on : Monday, June 10, 2013 0 comments
Unknown
Saved under : ,
 Bus linalofanya safari ya Dar  - Arusha liliwaka moto na kuteketea kabisa maeneo ya Ruvu kabla ya kufika Chalinze kwenye barabara ya Dar Chalinze, kama linavyoonekana katika picha ya juu na chini.Gari hilo ambalo mpaka mpiga picha wetu alivyokua anapita maeneo ya ajali halikuweza kutambulika ni bus gani kwani lilikua linawaka kwa moto mkali sana na mizigo yote ya abiria iliteketea kabisa lakini abiria wote walinusurika

No comments:

Leave a Reply