Ibada nzuri ilifanyika katika Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T.Ibada hiyo iliyoongozwa na mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Mwenge Mchungaji Kaanasia Msangi na mahubiri yalitolewa na mwinjilisti Godson (pichani juu) kutoka Usharika wa Kimara.
Akihubiri katika ibada hiyo mwinjilisti huyo alisema kumtolea Mungu si hiyari bali ni lazima kwa kila mtu kwani Mungu anatutaka tufanye hivyo
Waaumini wa Usharika wa Mwenge wakisifu katika ibada hiyo
Mwalimu Kayese (mwalimu wa kwaya kuu ya Usharika wa Mwenge) akiongoza nyimbo za sifa kabla ya mahubiri
Pamoja na ibada ya jumapili pia ilikua ni siku ya kumtolea Mungu fungu la kumi.Pichani juu na chini waumini wakipeleka madhabahuni sadaka zao za fungu la kumi
No comments: