Latest News


More

USHARIKA WA SINZA (K.K.K.T) WAJENGA KANISA LA MAMILIONI YA SHILINGI

Posted by : Unknown on : Wednesday, August 14, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
Usharika wa Sinza wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (DMP) wamejenga na kumaliza kanisa lao lililogharimu zaidi ya shilingi milioni 700.Kanisa hilo (pichani juu) lina uwezo wa kuchukua waumini zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja.
Kanisa hilo lilizinduliwa jumapili hii na mkuu wa kanisa la K.K.K.T na askofu wa DMP Dr.Alex Malasusa

Mandhari mbalimbali zinavyoonyesha kanis ala Usharika wa Sinza baada ya kumalizika


Mlango wa kuingilia ndani





Viongozi na wanakamati ya kamati ya maandalizi ya Uzinduzi wa Usharika wa Si9nza wakiwa nje ya kanisa lao siku ya uzinduzi
Upande wa nyuma wa kanisa hilo la Sinza

Mandhari nzuri inavyoonekana kwa nje
Mbele ya madhabahu kunavyoonekana


Waumini wakiwa kwenye ibada siku ya uzinduzi wa kanisa la Usharika wa sinza
Watoto wa shule ya jumapili wakiimba kwenye ibada hiyo
Viongozi waandamizi wakiwa madhabahuni kwenye ibada hiyo

No comments:

Leave a Reply