Latest News


More

JUMAPILI HII NI SIKUKUU YA WATOTO KATIKA KANISA LA K.K.K.T DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

Posted by : Unknown on : Friday, September 27, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :
 Kanisa la K.K.K.T Dayosisi ya Mashariki na Pwani watafanya ibada maaluma ya watoto (Michael na watoto) jumapili hii.Katika Ibada hiyo itakayoongozwa kwa sehemu kubwa na watoto hua kunakuwa na mambo mbalimbali wanayofanya watoto wa shule ya jumapili (Sunday School) kama vile uimbaji, ngonjera, mashairi na hata maigizo
Pichani juu watoto wa shule ya jumapili wa Usharika wa Mwenge wakiwa kwenye maandalizi ya jumapili usharikani kwao Mwenge
Mbele ni mmoja wa waalimu hao mwalimu Eliajua Mziray akifundisha watoto hao.
Aliyesimama katikati ya watoto hao ni mwalimu mkuu wa watoto hao mwalimu Suzan Mwimbi ambaye pia ni parish Workea wa Usharika huo
 Watoto hao wa Mwenge wanaongozwa na waalimu wafuatao
1.Mwalimu Suzan Mwimbi - ambaye ndiye mwalimu mkuu wa watoto hao
2.Mwalimu Fanuel Jackson Imbele - ambaye ni mwalimu wa music
3.Mwalimu Eliajua Mzira

Watoto hao hao wana nyimbo tatu maalum ambazo wataimba katika ibada hiyo nazo ni;
1.Tanzania yetu - uliotungwa na mwalimu Fanuel
2.Tazama Dunia - uliotungwa na Mwalimu Suzan  (ametunga na ngonjera pia)
3.Enyi wazazi - Uliotungwa na mwalimu Fanuel








No comments:

Leave a Reply