Latest News


More

USHARIKA WA K.K.K.T MWENGE WAKARIBIA KUMALIZA UWEKAJI WA SAKAFU WA JENGO LAO

Posted by : Unknown on : Friday, September 27, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

 Usharika wa kanisa la K.K.K.T MWENGE uko katika hatua za mwisho za uwekaji wa sakafu katika kanisa lao.Kanisa hilo lenye uwezo wa kuchukua zaidi ya watu 2000 ulifanya harambee kubwa mwanzoni mwa mwezi wa nane na sasa hivi mafundi wako katika uwekaji wa granite
Akizungumza katika ibada ya jumapili hii mchungaji kiongozi wa Usharika huo Mchungaji Kaanasia Msangi aliwaambia waumini wa Usharika huo kuwa jumapili hii wataabudu mahali pazuri pasipo na vumbi kwa utukufu wa Mungu


Pichani juu na chini Mafundi wakiendelea na uwekaji wa Granite kama walivyokutwa na blog hii jana

 Mafundi wakiendelea na kazi jana jioni




No comments:

Leave a Reply